Straight Path Dawah
Straight Path Dawah
  • Видео 565
  • Просмотров 8 341 316

Видео

MCHUNGAJI AWAOMBEA WAISLAMU DUA NZURI KWA KAZI NGUMU YA DAWAH WANAYOIFANYA
Просмотров 6 тыс.16 часов назад
Please subscribe to our channel. #StraightPathDawah
MCHUNGAJI ATOROKA MBIO NA NG'OMBE WAKE BAADA YA KUONA WAISLAMU KIJIJINI.
Просмотров 4,3 тыс.День назад
Tafadhali kumbuka ku subscribe. @StraightPathDawah #Dawahmitaani
ALIINGIA UISLAMU KWA KUPATA MSAADA NAKUUACHA KWA KUFUATA "DEM"
Просмотров 4,8 тыс.День назад
Please consider subscribing to our Channel. @StraightPathDawah
MUHADHARA WA MPEKETONI. MASWALI NA MAJIBU PART 2
Просмотров 4,6 тыс.14 дней назад
Please consider subscribing to our channel. @StraightPathDawah
MOGOKA NA WENYE FARASI KATIKA JIJI LA MOMBASA
Просмотров 8 тыс.14 дней назад
Tafadhali subscribe kwenye channel yetu @StraightPathDawah
MUHADHARA WA MPEKETONI NO 1
Просмотров 3,6 тыс.14 дней назад
Please consider subscribing to our channel. @StraightPathDawah
KIJANA WA SHAKAHOLA AJITOKEZA KWENYE DAWAH
Просмотров 9 тыс.14 дней назад
Please consider subscribing to our channel @StraightPathDawah
DAWAH KWA ANAYEUZA KAMBA ZA KUJINYONGA
Просмотров 9 тыс.21 день назад
Please remember to subscribe to our channel for more videos. @StraightPathDawah tunafikisha ujumbe hadi mashinani.
MASAIBU YA SAFARI YA MPEKETONI
Просмотров 3,2 тыс.21 день назад
Please consider subscribing to our Channel for more videos.
WAMAMA WA KANISA WAJITOKEZA KWENYE DAWAH || MSIKITI WA MZEE DAUD
Просмотров 8 тыс.Месяц назад
Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya Straight Path Dawah ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.
WAKRISTO WAYAKATAA MAANDIKO YA BIBLIA WAZI
Просмотров 11 тыс.Месяц назад
Tafadhali subscribe.
WAKRISTO WAMSHANGAA YESU KUONGEA NA KUNDI LA MAJINI BAADA YA KUSINGIZIA QURAN
Просмотров 28 тыс.Месяц назад
Please subscribe to my channel for more videos.
WACHUNGAJI WAHOJI KUHUSU MAJINI
Просмотров 9 тыс.Месяц назад
Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.@StraightPathDawah ni dawah popote wakati wowote.
MCHUNGAJI AKATAA UTATU NA KUKIRI KWAMBA WAKRISTO WENGI HAWAIJUI BIBLIA.
Просмотров 3,9 тыс.Месяц назад
MCHUNGAJI AKATAA UTATU NA KUKIRI KWAMBA WAKRISTO WENGI HAWAIJUI BIBLIA.
MSIKITI WAANZA KUWAVUTIA WATU LICHA YA KUCHAKAA.
Просмотров 6 тыс.2 месяца назад
MSIKITI WAANZA KUWAVUTIA WATU LICHA YA KUCHAKAA.
WAKRISTO WAKIRI KUWA KUNA KANISA ZA BIASHARA
Просмотров 15 тыс.2 месяца назад
WAKRISTO WAKIRI KUWA KUNA KANISA ZA BIASHARA
SIMULIZI YA KIJANA ALIYEKUWA MSAIDIZI WA PADRI.
Просмотров 10 тыс.2 месяца назад
SIMULIZI YA KIJANA ALIYEKUWA MSAIDIZI WA PADRI.
HAFLA YA EID KWA WAISLAMU WAPYA. 2024/1445AH
Просмотров 11 тыс.2 месяца назад
HAFLA YA EID KWA WAISLAMU WAPYA. 2024/1445AH
MSIKITI ULIOBAKI MAHAME BAADA YA WANAKIJIJI WOTE KURITADI.
Просмотров 26 тыс.2 месяца назад
MSIKITI ULIOBAKI MAHAME BAADA YA WANAKIJIJI WOTE KURITADI.
WAKRISTO WATOFAUTIANA VIBAYA KUMHUSU YESU
Просмотров 13 тыс.2 месяца назад
WAKRISTO WATOFAUTIANA VIBAYA KUMHUSU YESU
WATOKWA NA JASHO WAKITAFUTA UKRISTO KWENYE BIBLIA😭😭
Просмотров 11 тыс.2 месяца назад
WATOKWA NA JASHO WAKITAFUTA UKRISTO KWENYE BIBLIA😭😭
OMOSH JAKABABA AKA (OMOSH ONE HOUR) ASILIMU BAADA YA KUFUATILIA DAWAH MITAANI.
Просмотров 37 тыс.2 месяца назад
OMOSH JAKABABA AKA (OMOSH ONE HOUR) ASILIMU BAADA YA KUFUATILIA DAWAH MITAANI.
WAKRISTO WALEVI WAAHIDI KWENDA MSIKITINI KUSILIMU.
Просмотров 6 тыс.3 месяца назад
WAKRISTO WALEVI WAAHIDI KWENDA MSIKITINI KUSILIMU.
MAFUNDI WAPIGWA NA BUTWAA KWENYE DAWAH MASHINANI.
Просмотров 10 тыс.3 месяца назад
MAFUNDI WAPIGWA NA BUTWAA KWENYE DAWAH MASHINANI.
MTU NA MKEWE WAOMBA KUFUNDISHWA DINI YA UISLAMU (KAYOLE JUNCTION PART 2)
Просмотров 12 тыс.3 месяца назад
MTU NA MKEWE WAOMBA KUFUNDISHWA DINI YA UISLAMU (KAYOLE JUNCTION PART 2)
RAMADHAN KWENYE BIBLIA😱😱 !!
Просмотров 19 тыс.3 месяца назад
RAMADHAN KWENYE BIBLIA😱😱 !!
MAPADRI WANAOSUJUDU KISIRI KANISANI
Просмотров 24 тыс.3 месяца назад
MAPADRI WANAOSUJUDU KISIRI KANISANI
MCHUNGAJI AKIMBIA BAADA YA KUNYWA SUPU NA KUOGOPA HOJA
Просмотров 11 тыс.3 месяца назад
MCHUNGAJI AKIMBIA BAADA YA KUNYWA SUPU NA KUOGOPA HOJA
MAMA MKRISTO AJIPAKA MAFUTA YA NGURUWE ILI KUFUKUZA MAPEPO
Просмотров 9 тыс.3 месяца назад
MAMA MKRISTO AJIPAKA MAFUTA YA NGURUWE ILI KUFUKUZA MAPEPO

Комментарии

  • @user-po9jc8uz9u
    @user-po9jc8uz9u 16 часов назад

    Masha Allah. Shekhe akuongezee uwezo wa kutupa dawaa

  • @andanesalimoandane
    @andanesalimoandane 18 часов назад

    Jaman uyo yesu ALLAH ape ufaham atubiy kbla ya siku kufika lakin pia asisahau kuchana nywele

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 19 часов назад

    Kwakifupi hakuna neno geni,uislmu ni Monotheism beleaving, only one creator the only Elah Arameic, Allaah Arabic..

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 19 часов назад

    Maa shaa Allaah, the sura Nasr Allaah confirmed it already, so people ofvthose who believe in islam but they're not practicing the deen they must do their repentance and start practicing, become this is the time,now in the westerners have break the records of people taking shahada like heavy rains

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 19 часов назад

    Hawa hata wanajaribu lakini wazungu ndio wamevunja rekodi tena 2023 2024

  • @kennedyodhiambo8049
    @kennedyodhiambo8049 21 час назад

    Naweza kushuhudia hapa kwamba mwandishi wa Quran alikosa sana kujaribu kunukuu Biblia ambayo Waislamu wanadai kuwa imeharibika, imebadilishwa kwa muda na ina utata mwingi. Hakuna hadithi moja iliyotolewa kutoka kwa Biblia ambayo imesimuliwa kwa usahihi .... hadithi za Musa, Adamu, Ibrahimu na hata zile za Yesu zinatofautiana sana. Ni dhahiri kwamba msimulizi aliishi walipokuwa Wakristo na Mayahudi, alitangamana nao, akajifunza kutoka kwao kisha akaja na dini ya kupinga imani zao. Aya kama hizi zinaweza kuhalalisha maoni yangu An-Nisaa 4:171 Enyi Watu wa Kitabu msizidishe dini, wala msiseme juu ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Haki. Masihi Isa bin Maryamu hakuwa ila ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na neno Lake alilolielekeza kwa Maryamu na roho [iliyoumbwa kwa amri] kutoka Kwake. Basi mwaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala usiseme, "Watatu"; acha - ni bora kwako. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu Mmoja tu. Ametakasika na kuwa na mwana. Ni vyake vilivyomo mbinguni na vilivyomo katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mlinzi wa mambo. Aal-e-Imran 3:19 Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na hawakukhitalifiana walio pewa Kitabu ila baada ya kuwajia ilimu - kwa sababu ya chuki baina yao. Na anayezikataa Aya za Mwenyezi Mungu, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. Al-Anbiya 21:7 Na hatukuwatuma kabla yako, ila watu tulio wateremshia, basi waulize wenye ujumbe, ikiwa nyinyi hamjui. Al-Ahzab 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu humsalia Mtume na Malaika wake. Enyi mlioamini, muombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema] na muombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema]. NB: Mwenyezi Mungu anasema Dini mbele ya Mwenyezi Mungu!!! Mungu anathibitisha dini??? Mungu anasema “msiseme watatu” inapomaanisha kwamba Wakristo wanaamini katika miungu “tatu”? Mungu hawezi kuwa anazungumza katika Quran. Ni bora ujifunze kuelewa ni nani anayezungumza ndani yake

  • @HABIBMEDIA-fk9hg
    @HABIBMEDIA-fk9hg День назад

    huyo jamaa alikuwa Jacaranda akibisha

  • @PatriciaSeif
    @PatriciaSeif День назад

    Yaani huyu allah amuongoze la sivyo ataupata moto wa milele

  • @chekbob1464
    @chekbob1464 День назад

    Yaan wakristo mmekutan na chizi 😂😂

  • @AugustinMugishomushigo
    @AugustinMugishomushigo День назад

    Hakika mwalimu ndacha wewe nisahii,uyo nimwanadamu kwelikweli siyesu.nimojawapo wawenyemajina yenye makufuru.

  • @AugustinMugishomushigo
    @AugustinMugishomushigo День назад

    Hakika mwalimu ndacha wewe nisahii,uyo nimwanadamu kwelikweli siyesu.nimojawapo wawenyemajina yenye makufuru.

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 День назад

    Alhamdulillah!

  • @danwangila2735
    @danwangila2735 День назад

    Propaganda hizo....dini ya majini(shetani) nayo ni ya kuhamia?

  • @Yusufualawi
    @Yusufualawi День назад

    😊

  • @saudahassan3804
    @saudahassan3804 День назад

    Mashallah karibu sana kaka muhamad kwenye njia iliyooka

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 дня назад

    Mashaallah Allha 💖

  • @kennedyodhiambo8049
    @kennedyodhiambo8049 2 дня назад

    Sasa hawa wazee wakimaasai wakikubali kuslimu itabidi wafunzwe kiarabu ndipo waweze kumwabudu Mungu! Kama hata Kiswahili hawawezi kuzungumza vizuri, Kizungu hawaelewi na sasa itawalazimu kujifunza kiarabu si ni mzigo mkubwa huo!!! Yesu akasema, Njooni kwangu wote waliolemewa na mizigo mizito.. Mathayo 11:28. Uislamu ni mzigo kwa hivyo Waislamu njooni kwa Yesu muondolewe mizigo

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah День назад

      Uwongo huo maana Yesu pia hakuongea Kiswahili

    • @kennedyodhiambo8049
      @kennedyodhiambo8049 22 часа назад

      @@StraightPathDawah Je umeona kama sisi ni lazima tuongee lugha yenye Yesu aliongea?

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 дня назад

    Masha'Allah, Masha'Allah Ustad ame rudi Nrb baada ya MARATHON jule Lamu, Kilifi, na Msa Counties na ku ingine! Well done Ustad na Team. Wa Islamu supportini hii Dawah Team, jila mwezi, ili Dawah ifike mpaka TZ na Uganda pia! Ustad ana penda Dawah ifike kila Corner ya East Afrika! Wekesa, Welcome. Beautiful Jacket Ustad! Kule nyuma print: What is Islam? "Submission to your Creator!" Ai, hawa Mkristo kama hutu Joshua Mgumu, uki towa andiko, na wao wata towa nyengeni yakui PINGA! Kwani hawa WaKristo kama joshua, hawa REALISE kuna ENDLESS CONTRADICTIONS katika CULT yao la 'ukristo'! Halafu MRONGO hutu Joshua! Eti yesu ali IMBA? Na hawana HAYA hawa Wakristo! Halafu wako na FICTIOUS 'Hadiths' nyingiiii, za Islam! Ati Quran ni Nzito? Mafundisho Bora, as usual.

  • @mamprince3667
    @mamprince3667 2 дня назад

    Mashalla, napenda Da'wah. Mola wetu mlezi atuongoze sote

  • @kennedyodhiambo8049
    @kennedyodhiambo8049 2 дня назад

    Allah ni Al-Makir, Al-Muzil ambaye amewaumba wanadamu na majini wamuabudu. Allah ni mpinga Kristo ( Surah 5:72) atakuwaje mwenye haki? Acheni kuwadanganya watu jameni? Uislamu ni dini inayoeneza chuki dhidi ya wakristo na wayahudi Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.” Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends” Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable” Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam” Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran” Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels” Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them” Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them” Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood” Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them

  • @kennedyodhiambo8049
    @kennedyodhiambo8049 2 дня назад

    Haki katika Uislamu Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.” Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends” Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable” Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam” Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran” Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels” Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them” Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them” Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood” Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them

  • @alialkindy6690
    @alialkindy6690 2 дня назад

    Mungu akubarik

  • @libonoka
    @libonoka 2 дня назад

    1:20:01 i like this part❤

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u 2 дня назад

    In shaa Allah Kila la kheir ktk kazi hii ya Daawah

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 дня назад

    MashaAllah

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 дня назад

    MashaAlla.ostadh.wetu.anajuwaJins..yakuongea.nao.kwaupole.kabisaHad.Raha.Allah.akupe.ulinzi.dunianiNaAkhera..inshaAllah

  • @MariamAsudi
    @MariamAsudi 2 дня назад

    Mwenyezi Mungu azidi kuwaongoza masheikh wetu kwa kazi hii. Yenye faida ya Akherah na kuwalingania wakristo katika haki

  • @comarcabdall1564
    @comarcabdall1564 2 дня назад

    Nakupata sana, nakufatilia sana kutoka England Oxford, Allah akubarik

  • @Mwalimu-wa-Math
    @Mwalimu-wa-Math 2 дня назад

    Mwalimu nimependa vile umevaa hio brand Weka kwa youtube pia sisi tununue ili tu promote this RUclips Chanel

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 3 дня назад

    Hao jamaa wapenda kulewa ndio waka tetea divai

  • @user-hy5zd5rn6r
    @user-hy5zd5rn6r 3 дня назад

    Vizia vizia wasioelewa Uislam

  • @josemu870
    @josemu870 3 дня назад

    Allahamdhulla barikiweni sana sana

  • @user-iz1er8vg7u
    @user-iz1er8vg7u 3 дня назад

    ALLAHU AKBAR ❤

  • @AliHassan-zt4ye
    @AliHassan-zt4ye 3 дня назад

    The First Time Nimekupata Ya'ani Nimekuona Nairobi Ilikua Nairobi Haswa Hapo Eastleigh Da'awa Event And Jamia Masjid During Opening Day Of Jamia Masjid For Non-Muslim And General Public. I Really Appreciate Your Efforts Lovely Brother Ramadhan. I Am Hassan From Our Lovely County 008 Wajir, currently Based At Nairobi.

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 3 дня назад

    Alhamdu lillahiee mola wetu muongoze huyu kijana na sisi wa Islam wapya mungu atuthibitishe

  • @ConfusedHidingCat-fj5eg
    @ConfusedHidingCat-fj5eg 3 дня назад

    Allahu akbar

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 3 дня назад

    Kazi nzuri walim wangu.apana Mola apasae kuabudiwa ila Allah (Allah mungu wa yesu)

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 3 дня назад

    Mwenye akili akiona haki huifuata, ALLAH awaongoze wote waingie kwenye dini ya haki Amiin

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 3 дня назад

    Mashaa Allah Allah awalipeni kheri nyote mnaoipigania haki.

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 дня назад

    Maasai ana maswali mazuri

  • @salimamugeni3568
    @salimamugeni3568 3 дня назад

    Allahu Akbar Masha'allah

  • @salmaminja7714
    @salmaminja7714 3 дня назад

    Mashallah shekh Ramadhana na shekhe Yusufu hakika Allah awahifadh na awape moyo wa subra kazi hii ya Allah ni zaid ya chuo kikuu. Allah awape afya njma na pepo yke yaumul qiyama. Biidhinilah. Allahumma Amiiyn Yarabb.

  • @Fumokale
    @Fumokale 3 дня назад

    MashaAllah tabarakallah laaquwwata illa billah....Allah awajaalie IKHLAS mashaikh wetu wooote wanao fanya daawa....aaaaaminaaa

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 3 дня назад

    Hapo sawa.

  • @Barnabakabwe
    @Barnabakabwe 3 дня назад

    “Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie.” ‭‭Mithali‬ ‭24‬:‭17‬ ‭NEN‬‬ AMEN AMEN WAMEWASHA MOTO “Jua lako halitazama tena, nao mwezi wako hautafifia tena; Bwana atakuwa nuru yako milele, nazo siku zako za huzuni zitakoma.” ‭‭Isaya‬ ‭60‬:‭20‬ ‭NEN

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 3 дня назад

    Hawataki kujibu wanavyoulizwa wanababaisha huku na kule kukwepa maswali, huko nikufilisika kimaandiko.

  • @raniahmamu2586
    @raniahmamu2586 3 дня назад

    ❤❤❤ Masha'Allah

  • @fredrickmugo-us7ck
    @fredrickmugo-us7ck 3 дня назад

    We are waiting this to be in Egerton unv

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah 3 дня назад

      insha'Allah

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 дня назад

      Allah.AwapeKheri.nyingi.masheheNawa.walim.wetu.kazingumu.wanazofanya.kwahakikaUislam.ni.mzuri.mashaAllah

  • @fredrickmugo-us7ck
    @fredrickmugo-us7ck 3 дня назад

    We are waiting this to be in Egerton unv

  • @abdinassirhussein190
    @abdinassirhussein190 3 дня назад

    Masha Allah ustath Ramadan Allah akuongoze Kwa kila Jambo Insha Allah